Kuhusu AUTO MECH

AUTO MECH SACCOS LIMITED
Ni saccos ya kijamii iliyoanzishwa mnamo tarehe 30/10/2007. Chama hiki kilisajiliwa kwa namba (REG DSR 1048) - Dar es salaam.

Wakati kinaanzishwa wanachama ishirini na mbili(22) walijiunga na Chama mpaka sasa kina zaidi ya wanachama mia sita (600)

Soma zaidi

10+ Miaka ya Uzoefu

Huduma za uhakika

Wataalam Mahiri

Utawala Bora

Jinsi ya kujiunga

Fomu

Kujaza fomu ya kujiunga na uanachama TZS. 2,000/=

Barua

Barua ya utambulisho wa makazi.

Kitambulisho

Kopi ya kitambulisho cha mpiga kura/uraia.

Picha

Picha nne(4) ndogo(passport size).

Huduma za AM - SACCOS

HISA

 • Kiwango cha thamani ya Hisa moja ni kitakuwa shilingi elfu ishirini (20,000/=) ambayo mwanachama anahitajika kulipa anapo jiunga na chama.
 • Kiwango cha umiliki wa hisa hakizidi 1/5 asilimia ishirini (20%) ya hisa zote za chama

AKIBA

kila mwanachama ajenge tabia ya kuweka akiba mara kwa mara, Kila mwanachama anatakiwa aweke angalau Tsh 20,000/= kila mwezi kama kiwango cha chini cha akiba au zaidi ya apo.
akiba ya mwanachama itakuwa kama kigezo cha kupata mkopo.

AMANA

 • Mwanachama anaweza kuweka amana katika chama na uwekezaji huu sio wa lazima
 • Amana inaweza kuwekwa na kuchukuliwa wakati wowote ambao mwanachama anaitaji
 • Kima cha chini cha kubaki kwenye account kitapangwa na Bodi ya chama.

Mikopo

kuna aina mbalimbali za mikopo itolewayo na chama chetu kama Mikopo ya biashara, Maendeleo ya kijamii, kilimo, elimu, dharura na chapchap.

Soma Zaidi

Auto Mech

436

Business Growth

147

Win Awards

10+

Years Experience

150

Management

Shuhudi za Wateja wetu

 • AUTO MECH SACCOS inatusaidi wajasilimiamali wadogowadogo kukuza kipato chetu .

  Fatuma Hasani
 • Napata faidi kwa kutumia Hisa nilizo wekeza asante Auto Mech .

  Marko Jackson
 • Sikutegemea kama naweza kupata mkopo kwa haraka namna hii Asante AUTO MECH SACCOS .

  Mariamu John
 • Haloo Haloo AUTO MECH kiboko yao .

  John James

Jiunge Nasi Kwa Huduma bora

jiunge na wekeza na auto mech saccos kwa mafanikio zaidi

read more Get Started