Huduma za AM - SACCOS

HISA

  • Kiwango cha thamani ya Hisa moja ni shilingi elfu ishirini (20,000/=) ambayo mwanachama anahitajika kulipa anapo jiunga na chama.
  • Kiwango cha umiliki wa hisa hakizidi 1/5 (asilimia ishirini (20%)) ya hisa zote za chama

AKIBA

kila mwanachama ajenge tabia ya kuweka akiba mara kwa mara, Kila mwanachama anatakiwa aweke angalau Tsh 10,000/= kila mwezi kama kiwango cha chini cha akiba au zaidi ya apo.
akiba ya mwanachama itakuwa kama kigezo cha kupata mkopo.

AMANA

  • Mwanachama anaweza kuweka amana katika chama na uwekezaji huu sio wa lazima
  • Amana inaweza kuwekwa na kuchukuliwa wakati wowote ambao mwanachama atahitaji
  • Kima cha chini cha kubaki kwenye akaunti kitapangwa na Bodi ya chama.

Mikopo

kuna aina mbalimbali za mikopo itolewayo na chama chetu kama Mikopo ya biashara, Maendeleo ya jamii, kilimo, elimu, dharura na chapchap.

Soma Zaidi

Habari Mpya

Oct 15 2018

Mitaji

Kuza na pata mtaji Kupitia AUTO MECH SACCOS

june 15 2018

Ubunifu

Ubunifu ndio unatufanya tusonge mbele kwa kasi zaidi

Our Features

24 Hour Support

Tunatoa support masaa 24.

Full Security

ulinzi wa pesa yako ni jukum letu.

Creative Process

ubunifu uanza nawewe mwenyewe.

Quality Performance

huduma zenye ubora na ukamilifu.